GET /api/v0.1/hansard/entries/1115613/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1115613,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1115613/?format=api",
    "text_counter": 294,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "ambayo itaanza crackdowns . Pia, tumewahusisha Deputy CountyCommissioner (DCC) na Officer Commanding Police Division (OCPD) ili waweze kuchukua hatua dhidi ya hao cartels ambao wawahujumu watu kwa kuwafanya wakose maji. Zaidi ya yote, narudisha shukrani zangu nyingi sana kwa Mhe. Kareke Mbiuki, ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira. Vile vile, natoa shukrani nyingi sana kwa Mhe. Sophia Abdi kwa sababu nilipokuwa katika mkutano na Wizara, yeye ndiye alisimamia mkutano huo. Aliwapa"
}