GET /api/v0.1/hansard/entries/1115615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1115615,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1115615/?format=api",
"text_counter": 296,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "kulingana na vile Mwenyekiti wake alikuwa amesema. Kwa hivyo, nitazungumza na watu wangu wa Jomvu wawe na subira kidogo. Baada ya kumalizika kwa mabwawa hayo, tutapata maji na shida ya maji itakuwa ni jambo la kuzikwa katika kaburi la sahau. Ahsante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda."
}