GET /api/v0.1/hansard/entries/1115652/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1115652,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1115652/?format=api",
"text_counter": 333,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Kuhusiana na nyongeza ya mishahara, kama alivoyozungumza Mwenyekiti, hili ni jambo litakuwa mfano na kiegezo chema kwa mashirika mengine. SRC walitoa stakabadhi ambazo hazina mwelekeo wa sheria. Kuna sheria zinapitia kwa Kamati ya Delegated Legislation. Huwezi toa memo ikawa sheria. Leo kwa wafanyikazi wa KPA, nashukuru Mwenyezi Mungu nimefanya jukumu langu kama Mjumbe wao na watalipwa mshahara wao vile inavyositahiki."
}