GET /api/v0.1/hansard/entries/1116208/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1116208,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116208/?format=api",
    "text_counter": 220,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Mheshimiwa Naibu Spika, wasiwasi wangu ni lugha isije ikamchenga Waziri atuletee majibu ambayo hayaeleweki. Nilionelea ile ya kuandika iwe ni Kiingereza, lakini niisome kwa Kiswahili ili tuweze kuzungumza na kukitukuza Kiswahili lakini isiwe sababu ya Waziri kutuletea majibu ambayo hayana mwelekeo na ya shaghala-baghala."
}