GET /api/v0.1/hansard/entries/1116281/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1116281,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116281/?format=api",
"text_counter": 293,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "wake, Mhe. Sophia Abdi, walipofanya mkutano ule, tumeona mabadiliko kidogo yakifanyika hapo Jomvu. Kuhusiana na mambo ya wale wakora ama cartels, naripoti kuwa tulikaa na watu wa Wizara, tukaangalia na kusema kuwa jambo hili ni la watu wa usalama. Kwa hivyo, tumehusisha"
}