GET /api/v0.1/hansard/entries/1116321/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1116321,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116321/?format=api",
"text_counter": 333,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nilikuwa naelezea kwa kutoa kongole kwanza kwa Kamati. Kila Mjumbe amefanya kazi. Leo ni dhahiri licha ya mambo mengine yote kuwa Bunge limeweka msimamo wake wazi kuhusiana wafanyikazi wanaoleta mapato katika Kenya hii."
}