GET /api/v0.1/hansard/entries/1116322/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1116322,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116322/?format=api",
"text_counter": 334,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Kulikuwa na mambo mawili. La kwanza, kuna vijana 247 ambao walikuwa wakiajiriwa baada ya kila muda fulani wanapatiwa contract, wanaambia waende warejee kwa muda wa miaka kumi. Chini ya sheria Bunge hili liliweka ni kuwa mtu akifanya kazi kwa muda fulani lazima aajiriwe. Waliamua kuwa hao watu hawafai na wakawatoa. Licha ya hayo hawajatuambia bado tangu wale vijana 247 wafutwe vile wameajiri watu, na waliwaajiri kwa njia gani na kama The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}