GET /api/v0.1/hansard/entries/1116325/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1116325,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116325/?format=api",
"text_counter": 337,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Nikimalizia, kwa unyenyekevu, kwa sababu tulikuwa na Mhe. Mishi na Mhe. Bady na pia hawa ni wale… Nawaambia kwa unyenyekevu kuwa kuna Wajumbe wengine wanadhani kuwa ukizungumza katika majukwa na vibaraza… hawasaidii watu. Sheria zinatengezwa na ukitaka kutetea watu wako, ingia katika hili Bunge, kaa vile tunakaa sisi, kauka kama sisi, fanya utafiti wako na soma, lakini usiwe unapaa na kudanganya watu katika vibaraza lakini huwasaidii kwa jambo lolote. Wahudumie watu katika hili Jumba. Hukupigiwa kura uende kupiga ngojera za kisiasa kule nje."
}