GET /api/v0.1/hansard/entries/1116886/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1116886,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116886/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Wundanyi, WDM-K",
    "speaker_title": "Hon. Danson Mwashako",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": "lakini ikabidi kwamba lazima iwe asilimia 8. Kamati imesema kwamba iwe asilimia 4. Tunasema kuwa twende asilimia 4. Mbona tusiende zero kule ambapo Wakenya wengi walikuwa wametarajia? Mwishoni, ni mambo ya gesi ya kupikia. Tunaongea sana katika Kenya hii kwamba tunataka kupunguza uharibifu wa misitu na mambo kama hayo. Leo hii, tuna wasukuma wananchi wetu wasitumie kuni kupika kwa sababu gani? Tumeendelea kupandisha bei ya gesi ya kupikia. Naunga mkono Ripoti hii na ushuru kwa gesi unatakikana ushuke na ushuke kwa asilimia ambayo wananchi watasikia kweli tumesikia kilio chao. Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}