GET /api/v0.1/hansard/entries/1116979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1116979,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116979/?format=api",
"text_counter": 351,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lari, JP",
"speaker_title": "Hon. Jonah Mwangi",
"speaker": {
"id": 13405,
"legal_name": "Jonah Mburu Mwangi",
"slug": "jonah-mburu-mwangi"
},
"content": " Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi ndiyo pia nichangie. Kweli nilikuwa nimetulia sana. Nilikuwa nadhani sitapata hii nafasi lakini nimeipata. Kwa kuunga wengine mkono na hasa yule ameongea saa hii, kweli amesema mambo mazuri. Katika huu mjadala, namuunga mkono Gladys Wanga ambaye ameuleta ndiyo tupunguze hii bei ya mafuta lakini pia tuangalie zile sababu za kichinichini ambazo zaleta hizi shida za bei za mafuta. Kwanza, kuna hiyo ambayo inaitwa demurrage . Kuna uhusiano gani kati ya yule analipa"
}