GET /api/v0.1/hansard/entries/1116981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1116981,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1116981/?format=api",
    "text_counter": 353,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lari, JP",
    "speaker_title": "Hon. Jonah Mwangi",
    "speaker": {
        "id": 13405,
        "legal_name": "Jonah Mburu Mwangi",
        "slug": "jonah-mburu-mwangi"
    },
    "content": "na yule yualipwa? Kama kila siku yualipa milioni tano, lazima pale pawe na uchunguzi tujue kama ni njia nyingine ya kupata faida juu. Labda ile ni njia nyingine ya kupata faida kwa zile demurrage kwa sababu sioni sababu yoyote mafuta yawekwe pale bandarini kwa siku kumi na nane kabla hayajatolewa. Pia, lazima ile Kamati ya Energy ipatie shirika la Pipeline pesa ili ijenge yale mabwawa ya kuweka yale mafuta ndiyo mafuta yakija yapakuliwe mara hiyohiyo na yawekwe kwenye mabwawa. Hivyo, demurrage itaisha. Tuongee yale mambo ya fomula. Katika hii nchi, hakuna biashara nyingine leo hii isopokuwa biashara ya mafuta ambapo yule mwekezaji wa mafuta yuapata faida kila siku hata kama amelala kwa sababu fomula imempea guaranteed return, ati lazima atapata faida. Yeye faida yake imewekwa palepale na fomula. Kila siku yuapata faida, siku mbaya ama nzuri. Hiyo ni tabia gani katika hii nchi? Kampuni zote zafanya kushindana ndiyo mwingine apate biashara—leo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}