GET /api/v0.1/hansard/entries/1119541/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1119541,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1119541/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": " Asante Sen. Faki. Pengine tu ningetaka kumuuliza Mwenyekiti, kwa sababu yeye ndiye alikuwa amelivalia njuga swala hili. Je, hawa mawakala, ulipata fursa yoyote kuuliza maswali ili waweze kukueleza zaidi jambo linalo tendendeka? Nilivyomsikiliza Sen. Faki akisema, ikiwa atajibiwa namna ile ni kama anakejeliwa, itakuwaje kwa wale ambao wanasafiri? Pengine Mwenyekiti utueleze kwa muda mchache sana."
}