GET /api/v0.1/hansard/entries/1120101/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120101,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120101/?format=api",
"text_counter": 369,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, kuna wengine katika mstari wanaopendelea kuongea pia. Mtu mmoja akichukua dakika nyingi, haitakuwa vyema. Ingewezekana, ingerejeshwa ili mtu mmoja achukuwe dakika tano ama tatu hivi. Ingekuwa vizuri zaidi ili kila mtu ambaye yuko hapa ndani apewe nafasi ya kuongea. Asante, Bwana Spika wa Muda. Hiyo ni kwa hisani yako."
}