GET /api/v0.1/hansard/entries/1120580/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120580,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120580/?format=api",
"text_counter": 29,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Asante Mhe. Spika, kwa kunipa nafasi. Lugha ishara ni muhimu katika dunia ya leo. Kwa kweli kuna wale ambao hawajabahatika kuweza kuongea ili waeleweke. Katika hali hiyo, lugha ishara inatumika dunia nzima."
}