GET /api/v0.1/hansard/entries/1120582/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120582,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120582/?format=api",
"text_counter": 31,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Katika hali hiyo, dunia nzima inaposherehekea lugha ishara, sisi pia hatuna budi kuongezeka katika dunia hiyo kubwa ili tuinue lugha ishara. Hii ni kwa sababu kuna watu wengi wanaoishi na sisi ukiangalia dunia nzima."
}