GET /api/v0.1/hansard/entries/1120584/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120584,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120584/?format=api",
"text_counter": 33,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13224,
"legal_name": "Golich Juma Wario",
"slug": "golich-juma-wario"
},
"content": "Ninaunga mkono lugha ishara iweze kukuzwa katika shule zetu zote katika ngazi zote za serikali hapa Kenya na pia tujumuike na dunia nzima wanapoisherehekea. Hii ni kuwezesha wasiobahatika kuongea na kueleweka katika jamii wapate kipaumbele na wajihisi kama ni wananchi na watu wanaoishi katika dunia."
}