GET /api/v0.1/hansard/entries/1120831/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1120831,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120831/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii wa lalama dhidi ya Waziri wa Kawi Mhe. Keter na Waziri wa Mafuta Mhe. Munyes. Kwanza nampongeza kiongozi wangu wa wachache katika Bunge hili kwa kuweza kuleta Hoja hii katika Seneti. Hoja hii ingeletwa na Seneta yeyote katika Bunge hili lakini Sen. Orengo kwa imani yake kwa Bunge hili na kwa wananchi wa Kenya waliomchagua, aliona kwamba alete Hoja hii ili kuweka wazi kuwa sisi bado tuko na jukumu letu la kutekeleza kama wachache katika Bunge hili."
}