GET /api/v0.1/hansard/entries/1120835/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120835,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120835/?format=api",
"text_counter": 284,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, swali la kuuliza ni je Waziri wanapotangaza hizi nyongeza kila tarehe 15, wameweza kufanya ushauriano na wananchi ama mashirika yale ambayo yanahusika na bei za petroli katika nchi yetu ya Kenya na matumizi ya petroli hiyo? Naunga mkono Mswada huu. Hili liwe funzo kwa Mawaziri ambao wanapuuza mwito wa Seneti. Ni lazima hatua kali lichukuliwe. Asante kwa kunipa fursa hii."
}