GET /api/v0.1/hansard/entries/1120843/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1120843,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120843/?format=api",
    "text_counter": 292,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Sakaja",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13131,
        "legal_name": "Johnson Arthur Sakaja",
        "slug": "johnson-arthur-sakaja"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Ningependa kumuarifu Sen. Gona na sijafurahia kwa sababu nimemkatiza. Alikuwa anaenda vizuri sana kwa mwendo wa asteaste. Lakini ningependa kumjulisha kwa sababu amesema labda hatujui bei ya makaa na labda gesi imepanda. Kweli gesi ilipanda na Kshs350. Ndio maana tunakubaliana kwamba akina mama ndio wanapika wanaumia sana. Ni ile kumfamisha kwamba bei ya gesi imepanda kwa Kshs350. Pia makaa imepanda kwa sababu kukata miti ilipigwa marufuku. Kila mbinu ya kupika imepanda."
}