GET /api/v0.1/hansard/entries/1120971/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1120971,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1120971/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante Bi. Spika kwa kunipa fursa hii ya kuunga mkono Ombi lililo letwa Bunge hili na Sen. Halake. Bi. Naibu Spika, ni wazi kuwa kuna misaada mingi ya kujenga demokrasia katika Kenya. Nchi nyingi za kimagharabi ambazo zinasaidia kukuwa demokrasia wako mbele zaidi ya Kenya katika swala la demokrasia. Kwa hivyo barua ambayo iliandikwa na Katibu katika Wizara ya Mambo ya Nchi za Kigeni kuzuuia balozi kusaidia au kutoa msaada kwa maswala ya demokrasia, haifai kabisa. Tumeona kwa muda mrefu na kwa miaka mingi Serikali imeshindwa kufanya masomo ya uraia yaani civic education kwa sababu pesa ambazo wako nazo hazitoshi"
}