GET /api/v0.1/hansard/entries/1121166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1121166,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121166/?format=api",
    "text_counter": 302,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ningekuwa mtu wa mwisho kabisa kusimama na kuuliza swali hili na kujaribu kumrekebisha. Ninajua anaelewa ni ulimi unateleza lakini mara anakupatia wewe majina mawili la kiume na la kike halafu la kazi unayofanya. Hatujui katika hayo matatu, madam na Spika ni sawa lakini kuna hilo lingine alilokuita si mara moja, mbili, tatu au nne. Pengine ingekuwa vizuri afafanue."
}