GET /api/v0.1/hansard/entries/1121233/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1121233,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121233/?format=api",
"text_counter": 369,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kila alivyo nakili katika hii ripoti, yamewahi kutokea katika Kenya, hususan katika mkoa wa Pwani. Tunajua kabisa katika sheria na Katiba inasema ya kwamba, kila mtu katika Jamhuri ya Kenya ana haki ya kuishi na kuweza kulindwa kimaisha na Serikali. Lakini yale yanayojiri tunayaona ni mambo ya kustaajabisha."
}