GET /api/v0.1/hansard/entries/1121234/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1121234,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121234/?format=api",
"text_counter": 370,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, tunavyoongea kuhusika na vifo hivi, nasikitika kwa sababu mimi mwenyewe katika familia, tumepatikana na kisa kama hiki. Pia vilevile, visa vya wavulana katika Pwani vimekithiri. Ukweli wa mambo ni kwamba, visa kama hivi"
}