GET /api/v0.1/hansard/entries/1121239/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1121239,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121239/?format=api",
"text_counter": 375,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Stewart Madzayo. Ama iwe kuna George. Kwanini saa zote iwe Rashid, iwe Feisal, iwe Abdullahi au Salim? Tunajiuliza maswali. Ni kwa sababu, katika akili za polisi, mtu akiwa amekua barobaro na kuna makosa fulani yametendeka katika mtaa fulani, inajulikana wale wanaweza kuwa rounded up au kuzungukiwa wakashikwa, ni wale wavulana Waislamu. Kubagua hakufai. Laziwa watu wote wawekwe katika sheria kisawasawa. Familia hizi zinateseka kiuchumi kwa sababu yule ambaye anapeleka mkate nyumbani, yule mtu anayeweza kupeleka mamake hospitali na yule mtu anayeweza kusomesha mtoto wake; anakua anapotezwa hali si sawa kupitia kitengo ambacho si cha kisheria. Bi. Spika wa Muda, ile Kamati ya Sheria na Uridhiano yaani the Truth and"
}