GET /api/v0.1/hansard/entries/1121629/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1121629,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1121629/?format=api",
"text_counter": 45,
"type": "speech",
"speaker_name": "Endebess, JP",
"speaker_title": "Hon. (Dr.) Robert Pukose",
"speaker": {
"id": 1458,
"legal_name": "Robert Pukose",
"slug": "robert-pukose"
},
"content": " Jambo la nidhamu, Mhe Naibu Spika. Nataka kujua ikiwa Mhe. Kapteni Ruweida ako na nidhamu kwa kuongea mambo ya kabila fulani akiwashutumu kwa kuingilia mambo ya ardhi ilhali tunaongea juu ya Petition inayohusu ardhi ya mama Wambui."
}