GET /api/v0.1/hansard/entries/1122015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1122015,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1122015/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ahsante sana, Mheshimiwa Spika. Nimemskiza ndugu yangu, Sen. Cheruiyot, na ninashangaa ya kwamba anajaribu kutetea uvunjaji wa sheria. Anasema ya kwamba mtu anaweza akauawa ama kupelekwa mahali pasipo julikana na familia wala wakili wake baada ya kushikwa, kupelekwa mahakamani na mahakama kuamuru ya kwamba hana hatia na hakuna ushahidi wa kutosha kumuhukumu. Hao watu hupotea"
}