GET /api/v0.1/hansard/entries/1122017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1122017,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1122017/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kiasi ya kwamba hakuna mtu yeyote katika jamhuri ya Kenya ambaye anaweza sema ya kwamba yuko mahala fulani. Tuko katika Bunge, na ni hapa ambapo tunatunga sheria. Hatuwezi tukasema ya kwamba ni haki kwa askari kuchukua mtu. Taasisi ambayo imeundwa na katiba kuangalia kama kuna ushahidi ama la ni mahakama. Mahakama ikisema ya kwamba polisi hawana ushahidi wa kutosha basi hao watu wachunguzwe. Hao watu wataendelea kuchunguza mpaka polisi waone ya kwamba hao sio tishio kwa usalama wa taifa. Sio sawa kusema ya kwamba polisi wako na haki."
}