GET /api/v0.1/hansard/entries/1122309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1122309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1122309/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms) Ruweida Obo",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika. Naona ikifunguliwa au isifunguliwe, yote ni sawa. Kupata akidi katika Jumba hili ni taabu sasa. Kwa hivyo, ifunguliwe au isifunguliwe ni kuwapatia nafasi wengine ambao wanatafuta sababu. Kupata akidi imekuwa shida. Kwa hivyo, vyovyote vile, ni sawa."
}