GET /api/v0.1/hansard/entries/112242/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 112242,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/112242/?format=api",
    "text_counter": 299,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mungatana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 185,
        "legal_name": "Danson Buya Mungatana",
        "slug": "danson-mungatana"
    },
    "content": "Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi na mimi nizungumze, na kutoa maoni yangu kwa ufupi kuhusu Hoja hii. Kwanza, ningependa kuchukua nafasi hii kukushukuru,viongozi wa HBC, viongozi wa vyama vyetu vya kisiasa, ambao walikuja pamoja kukubaliana kwamba leo tulizungumze jambo ambalo liko mbele yetu."
}