GET /api/v0.1/hansard/entries/1122826/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1122826,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1122826/?format=api",
"text_counter": 295,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nominated, FORD – K",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Nasri Ibrahim",
"speaker": {
"id": 13173,
"legal_name": "Nasri Sahal Ibrahim",
"slug": "nasri-sahal-ibrahim"
},
"content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa hii nafasi. Mimi nikiwa katika kamati ya maji na mazingira nilibahatika kuenda kwa kiwanda. Tuliamkia asubuhi na mapema na wenzangu walio hapa. Kufika huko, ile hali tuliona ilikuwa ya kutatanisha sana. Kuamka asubuhi saa kumi, hewa ya jirani ya LDK ilikuwa mbaya sana. Hicho The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}