GET /api/v0.1/hansard/entries/1122827/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1122827,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1122827/?format=api",
    "text_counter": 296,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, FORD – K",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Nasri Ibrahim",
    "speaker": {
        "id": 13173,
        "legal_name": "Nasri Sahal Ibrahim",
        "slug": "nasri-sahal-ibrahim"
    },
    "content": "kiwanda kinatoa hewa mbaya. Inaharibu mazingira yote. Tulikutana na wazazi ambao watoto wao wanakohoa kwa ajili ya hiyo hewa mbaya. Tunahitaji mazingira nzuri na hewa safi nchi hii. Hatutaki kiwanda kinachoharibu mazingira. Tukiwa kamati tuliandika ripoti ya kwamba hicho kiwanda lazima watengeneze mashine ambayo iko na teknolojia ya kusafisha hewa mbaya. Lakini wengine kama meneja wa kiwanda hicho alikuwa anateta sana na nilihuzunika sana. Ni muhimu sana sisi wakenya tuangalie maslahi ya wananchi kwa kulinda mazingira ili tukae na afya. Lazima hiki kiwanda kiweke teknolojia ya kisasa ili hewa iwe safi. Idhara ya NEMA inasema ilipeana leseni ambayo kampuni ya LDK lazima itie maanani. Kwa hayo machache, ninaunga mkono. Asante."
}