GET /api/v0.1/hansard/entries/1123214/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1123214,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1123214/?format=api",
    "text_counter": 258,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Tena walikuwa wakipiga kongole wakisema kuwa ni sawa. Ni mara ngapi hapa wenzangu walizungumza habari ya “tuongea sasa.” Waswahili wanasema kuwa ukitaka kujua jinsi ulivyonyeshewa aanza kujiuliza tone la kwanza lilikupiwa wapi."
}