GET /api/v0.1/hansard/entries/1123216/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1123216,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1123216/?format=api",
    "text_counter": 260,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Nyinyi ndio mulisababisha mtindo huu ikiwa leo, na ni lazima mukubali makosa mliyowafanyia Wakenya. Hamna njia nyingine isipokua mregee nyuma muombe msamaha kwa Wakenya ya kuwa mliwakosea. Na njia ya kuomba msamaha ni kusema ya kuwa mnakubaliana na sisi ambao tunataka azimio la Kenya. Leo wengine wananza kuongea juu ya baadhi ya majina. Tena angalia hekima zao. Wanajua vipengele vya Katiba ambavyo miaka yote tulikuwa tukizungumzia hapa ya kuwa Wapwani hawapatiwi nafasi. Ndugu zetu kutoka Kasiskazini Mashariki hawapatiwi nafasi na ndugu zetu kutoka Luo Nyanza hawapatiwi nafasi. Leo, kwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}