GET /api/v0.1/hansard/entries/1123217/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1123217,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1123217/?format=api",
"text_counter": 261,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "sababu imekuwa ni sawa kwa wengine, mnasahau kuwa haya yamefika hapa kwa sababu yenu nyinyi sio kwa sababu nyingine. Sasa hivi, majina yanabadilishwa katika EACC ni mawili. Nakubaliana na former Leader of the Majority Party ambaye namtambua kama kiongozi wangu, lakini nataka tumkumbushe haya majina mengine yote ambayo anasema si kikatiba yeye na wenzake ndio walioyapitisha katika Bunge hili."
}