GET /api/v0.1/hansard/entries/1123322/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1123322,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1123322/?format=api",
"text_counter": 366,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo (",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Lamu CWR, JP): Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nami naunga mkono waliochaguliwa. Naona kuna sura ya Kenya na pia namshukuru Mhe. Rais kwa sababu komishina mmoja ametoka Pwani ana muungano wetu wa Upya. Lakini naomba wakati mwingine nafasi mpya ikitokea Pwani safari hii iwe ni mtu kutoka Lamu. Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda."
}