GET /api/v0.1/hansard/entries/1123391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1123391,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1123391/?format=api",
    "text_counter": 435,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": " Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Sisi wazazi ambao tunajua umuhimu wakunyonyesha tunaunga mkono sana Ripoti hii kwa sababu lazima mtoto mchanga apate maziwa ya mama. Lakini pia kuna wakati kuna changamoto pengine mzazi amezaa mtoto lakini anakumbwa na changamoto za maradhi fulani hivyo basi anaambiwa na daktari asimnyonyeshe mtoto. Ama pia mzazi anazaa lakini maziwa yake ni kidogo, na hayamtoshelezi mtoto. Hivyo basi, lazima kuwe na maziwa mbadala yakumtoshelesha mtoto."
}