GET /api/v0.1/hansard/entries/1124424/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1124424,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1124424/?format=api",
    "text_counter": 512,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Itawezekana vipi wanawake wapate haki zao ikiwa wanaume ndio wengi katika police service ? Tukiangalia mfano moja tu, Lamu iko na polisi wanawake 10 tu. Je, wanawake wetu watapata haki zao wapi? Kama Mheshimiwa Sankok hajaelewa hilo, nafikiri itabidi asikize kwa makini ndio aelewe. Sina mengi zaidi lakini napinga Mswada huu. Asante."
}