GET /api/v0.1/hansard/entries/1126000/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1126000,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1126000/?format=api",
    "text_counter": 219,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nakuru, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Liza Chelule",
    "speaker": null,
    "content": ". Inajulikana iko Nairobi. Haijasikika pale nyumbani. Hii ndio sababu saa zingine watu wako na wasiwasi nayo. Ninakushukuru kwa sababu umesimama nao na umepitishwa. Ninaunga mkono Mswada utakaotetea kina mama. Asante."
}