GET /api/v0.1/hansard/entries/1126005/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1126005,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1126005/?format=api",
"text_counter": 224,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Nimeona hapa kuna submissions zimeletwa na Council of Governors (CoG) na wameweza kuelezea kwamba hawakufurahishwa na baadhi ya vipengele hapa. Hii ni kwa sababu Katiba ya Kenya inasema kuwa maswala ya kijamii ni lazima yashughulikiwe na serikali za kauti. Lakini kwa mtazamo wangu mimi na wa kamati iyoleta Mswada huu ni kuwa haya ni mambo ambayo yako chini yetu. Tunapaswa kuweka na kuhakikisha kwamba tumewalinda wale ambao wanajaribu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}