GET /api/v0.1/hansard/entries/1126007/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1126007,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1126007/?format=api",
    "text_counter": 226,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Kwa hivyo, nakubaliana na sheria hii kuwa ni lazima kutakuwa na mabadiliko madogo hapa na pale. Lakini la muhimu zaidi ni kuwa hii ni sheria ambayo sote tunaweza kuipiga pambaja ili wale wenye kuitumia na kujisajili kwa vikundi waweza kuhifadhika na sheria tutakazo weka."
}