GET /api/v0.1/hansard/entries/1126100/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1126100,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1126100/?format=api",
    "text_counter": 319,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, naishukuru Kamati hii pia kwa sababu imefanya kazi nzuri hata kupitia pia lile kundi ambalo limekuwa likihusika na masuala ya shamba hili. Ni vizuri kuekana wazi na ni vizuri ijulikane ukweli wa mambo uko wapi. Mimi kama kiongozi nimeshapata malalamizi mingi sana kutoka kwa wananchi wakisema kwamba “Mheshimiwa, hatuelewi hali ya kundi hili la Mwasima Mbuwa. Hatuelewi shughuli wanazozifanya na mara kwa mara tumetoa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}