GET /api/v0.1/hansard/entries/1126101/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1126101,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1126101/?format=api",
    "text_counter": 320,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
    "speaker": {
        "id": 13274,
        "legal_name": "Lydia Haika Mnene Mizighi",
        "slug": "lydia-haika-mnene-mizighi"
    },
    "content": "fedha zetu tukiahidiwa mambo ambayo hayawi.” Kwa hivyo, ni vizuri pia ichunguzwe na kama kuna ukweli wapate haki yao na kama basi pia wanadhulumu wananchi sheria ichukue mkono wake. Ninafurahia kwamba pale Mwatate, Majengo-Singila na hata Langateni wataweza kupata fursa ya kupata ile shamba ambayo…"
}