GET /api/v0.1/hansard/entries/1126134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1126134,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1126134/?format=api",
"text_counter": 353,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita/Taveta CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, shukrani tena kwa hii fursa. Hata mimi naunga mkono wenzangu waliotangulia kuongea. Ni vizuri pesa hizi ziwekwe mahali pamoja na wale wanodai walipwe kwa sababu hayo yamekuwa ni mambo ya jadi. Kwa hivyo, ni vizuri wale wamebaki wakidai pesa zao walipwe na zile zitabaki kweli zipelekwe katika Treasury ili zifanye kazi nyingine. Asante kwa fursa hii. Naunga mkono."
}