GET /api/v0.1/hansard/entries/1127715/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1127715,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1127715/?format=api",
    "text_counter": 609,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bura, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": " Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Ningependa kumpongeza Mhe. Barasa kwa marekebisho aliyoleta katika Mswada huu. Huzuku ya uzee ni pesa ya uzee. Imefika mahali malipo haya yamekuwa kama dhuluma. Kuna siku nilimpeleka mjane katika Bima House. Tulizungushwa hadi mjane akaniuliza: “Hawa wanajua kuwa mme wangu amekufa akilinda hili taifa? Je wanajua?”"
}