GET /api/v0.1/hansard/entries/1128458/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1128458,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1128458/?format=api",
    "text_counter": 725,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "Inasikitisha kuwa taasisi tulizonazo zinategemea wafadhili. Nimefurahi kuwe na sheria hii na pia Bunge hili kupitia kwa kamati ihakikishe kuwa tumewapatia pesa za kutosha maanake utafiti ni ghali na tukitengeneza sheria na tusiwape pesa za kufanya utafiti, itakuwa kazi bure."
}