GET /api/v0.1/hansard/entries/1128466/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1128466,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1128466/?format=api",
    "text_counter": 733,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 786,
        "legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
        "slug": "ruweida-mohamed-obo"
    },
    "content": "(Lamu CWR, JP) : Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mhe. amejichanganya mwenyewe. Amesema wanataka kufanya. Wangojee wakati huo ukifika watuonyeshe hii ndiyo toroli au wheelbarrow ya kisasa. Lakini hizi tunazozitumia ni zile zile za mtaani tunazozijua."
}