GET /api/v0.1/hansard/entries/1128467/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1128467,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1128467/?format=api",
"text_counter": 734,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Ruweida Obo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 786,
"legal_name": "Ruweida Mohamed Obo",
"slug": "ruweida-mohamed-obo"
},
"content": "Tumesoma kupitia COVID-19 na tumeanza kutengeneza barakoa ambazo hatukuwa tunatengeza. Kwa hivyo, hizi taasisi zikipatiwa hizi sheria na pesa zitafute mbinu zile, watahakikisha vitu vingi vimetengezwe Kenya. Tunajua wana kipawa. Watoto wetu ni wasomi. Kwa hivyo, Kenya iwe sawa na nchi zingine."
}