GET /api/v0.1/hansard/entries/1128851/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1128851,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1128851/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mvita, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": " Asante sana Naibu Spika wa Muda. Ninaomba mwelekeo kutoka kwako. Tarehe 16 Juni 2021, nilimuliza Swali Mwenyeketi ambaye anahusika na masuala ya wafanyikazi. Swali hilo linahusu wafanyikazi wa halmashauri ya bandari nchini, ama ukipenda Kenya Ports Authority (KPA) ."
}