GET /api/v0.1/hansard/entries/1128855/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1128855,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1128855/?format=api",
"text_counter": 250,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Yalikuwa Maswali mawili. Swali la kwanza linahusu Kamati ya Leba na Ustawi wa Jamii, na Swali la pili linahusu Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa. Katibu Mkuu wa Kamati ya Fedha na Mipango ya Kitaifa atakubaliana na mimi na anahisi yale tunayozungumzia."
}