GET /api/v0.1/hansard/entries/1128859/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1128859,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1128859/?format=api",
    "text_counter": 254,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mwea, JP",
    "speaker_title": "Hon. Josphat Kabinga",
    "speaker": {
        "id": 13441,
        "legal_name": "Josphat Kabinga Wachira",
        "slug": "josphat-kabinga-wachira-2"
    },
    "content": " Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Ni kweli kwamba Mbunge mwenzangu alitaka tumjibu kwa mambo mawili. Tukawa tumejibu jambo la kwanza. Jambo la pili lilikuwa kuhusu wale wafanyikazi 247. Tuliahidi kwamba wiki mbili kutoka wakati ule, tutakuwa tumempa jawabu. Tulimuandikia Waziri husika na Mkurugenzi wa KPA, na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}